iqna

IQNA

kombe la dunia
Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya mashabiki Waislamu waliohudhuria mechi ya Morocco dhidi ya Ufaransa nchini Qatar walikariri tamko la Kiislamu la imani, au shahada, siku ya Jumatano, na kutuma ujumbe kwa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliyekuwa uwanjani hapo.
Habari ID: 3476258    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA)-Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soko ya Morocco, Abdel Razzaq Hamdallah hivi karibuni ameonekana akisoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476224    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) - Mtaalamu mmoja anasema maandalizi "ya kuvutia" ya Qatar ya Kombe la Dunia la FIFA la 2022 yamebatilisha juhudi za nchi za Magharibi za kuonyesha picha mbaya ya Waislamu na Waarabu ambapo daima wamekuwa wakihusishwa na ugaidi na machafuko.
Habari ID: 3476176    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/30

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) - Mufti mkuu wa Oman amewashukuru Waislamu na wale wote ambao wamekataa kuzungumza au kuhojiwa na na waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa Kombe la Dunia la 2022 linaloendelea nchini Qatar.
Habari ID: 3476163    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Mashabiki wa soka wa Waislamu ndani na nchi na kutoka mataifa mengine duniani walihudhuria Sala ya Ijumaa mjini Doha, Qatar huku Kombe la Dunia la kwanza katika nchi ya Kiislamu likiendelea.
Habari ID: 3476152    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)- Emir of Qatar Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani ameonekana akifurahia ushindi wa Timu ya Taifa ya Soka ya Iran wakati ilipoichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.
Habari ID: 3476148    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Wahubiri wa kiume na wa kike wenye uwezo wa kuzungumza lugha kadhaa katika Msikiti wa Kijiji cha Utamaduni cha Katara katika mji mkuu wa Qatar wa Doha wanatoa maelezo kuhusu Uislamu na halikadhalika wanabainisha uvumilivu wa dini hii tukufu kwa watalii wakati wa Kombe la Dunia la 2022.
Habari ID: 3476139    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)- Hatu ya kusomwa Qur'ani Tukufu katika sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar uliambatana na sifa nyingi kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii katika intaneti, kiasi kwamba neno 'Quran' kwa Kiingereza limeongoza kwa siku kadhaa katika maneneo yanayotafutwa katika mitandao ya kijamii hasa Twitter.
Habari ID: 3476132    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) - Kombe la Dunia la FIFA la 2022 nchini Qatar lilianza Novemba 20 kwa usomaji wa aya ya Qur’ani Tukufu na yamkini hii ni mara ya kwanza katika historia ya kombe hilo.
Habari ID: 3476127    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) amepuulizia mbali mashinikizo ya kutaka kuruhusiwa pombe viwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zinazoanza leo nchini Qatar.
Habari ID: 3476117    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) – Watumiaji wengi wa Twitter walipendezwa na sauti nzuri ya Adhana baada ya klipu iliyorushwa na mwandishi mkuu wa kandanda wa Times Henry Winter iliyoonyesha mazoezi ya timu ya England wakati wa Adhana kusambaa mitandaoni.
Habari ID: 3476114    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

Uislamu nchini Ghana
TEHRAN (IQNA) – Dua ya Kiislamu imepangwa na Shirikisho la Soka la Ghana (GFA) kwa ajili ya timu ya taifa ya nchi hiyo, inayoitwa Black Stars, kabla ya Kombe la Dunia la 2022 la Qatar.
Habari ID: 3476024    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Maadili ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Qatar imetayarisha maandishi makubwa ya hadithi za Mtume Muhammad (SAW) yatakayowekwa maeneo muhimu wakati wa Kombe la Soka la Dunia la 2022.
Habari ID: 3476017    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Utawala wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Qatar imepinga ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia la FIFA 2022.
Habari ID: 3475777    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

TEHRAN (IQNA)- Ousmane Dembele mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soka ya Ufaransa ambaye alinawiri katika Kombe la Dunia hivi karibuni nchini Russia ametangaza kuwa atajenga msikiti katika nchi yake ya asili, Mauritania.
Habari ID: 3471598    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18

TEHRAN (IQNA)- Golkipa wa Timu ya Taifa ya Soka ya Misri katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Russia amekataa zawadi ya mchezaji bora ambayo alitunukiwa na shirika moja la utegenezaji na uuzaji pombe.
Habari ID: 3471565    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/19

TEHRAN (IQNA)- Kuna idadi kubwa ya Waislamu ambao wako nchini Russia kushiriki au kutazama mechi za Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2018 na moja kati ya changamoto kubwa ni kupata chakula halali, lakini tatizo hilo limetatuliwa kwa kutumie teknolojia ya kisasa.
Habari ID: 3471563    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/18